Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awaapisha viongozi aliowateua Ikulu leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,pia Jaji Mkuu Mstaafu Mhe.Hamid Mahmoud Hamid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa hiuvi karibuni, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 11/11/2022.

Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni miongoni mwa waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Viongozi walioteuliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Saleh Juma Mussa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -Ikulu, kabla ya Uteuzi alikuwa Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu,hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Maryam Juma A.Sadalla kuwa Katibu Mkuu (Kazi na Uwezeshaji) katika Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji,kabla  ya Uteuzi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo  ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Thabit Idarous Faina  kuwa  Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi , kabla ya Uteuzi alikuwa  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Abeda Rashid Abdallah  kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya  Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee  na Watoto,kabla  ya Uteuzi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya  Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee  na Watoto ,hafla ya kiapo imefanyika leo  katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Khamis Abdulla Saidi kuwa Katibu  Mkuu katika  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kabla ya Uteuzi alikuwa Naibu Katibu Mkuu  katika Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo ,hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg,Saleh Juma Mussa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -Ikulu, kabla ya Uteuzi alikuwa Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu,hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.

Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni miongoni mwa waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Viongozi walioteuliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/11/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.