Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azungumza na Mabalozi wa Tanzania ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi na Menejimenti ya Wizara, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 18-11-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax  na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
WASANII wa Kikundi cha JKU wakitowa burudani ya ngoma ya msewe wakati wa mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
AMIDI Mkuu wa Mabalozi wa Tanzania Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe Dkt..Asha-rose Mingiro akitowa maelezo ya Mwelekeo Mpya katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumu (Tulipotoka,Tulipo Sasa na Tunapoelekea) wakati wa mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania na Menejimenti ya Wizara, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAHESHIMIWA Mabalozi wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akihutubia katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Stergomena Tax akizungumza katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania na Menejimenti ya Wizara, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Mabalozi wa Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
WAHESHIMIWA Mabalozi wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akihutubia katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nje ya Nchi uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.