Habari za Punde

Rais Mhe Samia mgeni rasmi Uzinduzi wa Barabara Babati Mjini pamoja Maghala ya kisasa ya kuhifadhia chakula mkoni Manyara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuashiria uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akikagua Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki, pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Babati Mjini mara baada ya kuzindua Mtandao wa barabara za lami za Mji huo Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.