NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na
ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akifungua
mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mabalozi
wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Dk.
Stergomena Tax ulifanyika katika Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB
HUSSEIN).
KATIBU Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na
ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Edward Sokoine akizungumza
katika ufunguzi wa mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi uliofanyika Hotel
Verde Mtoni Zanzibar. (PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
MABALOZI wa Tanzania nje ya Nchi wakiwa
katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
mabalozi hao uliofanyika Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
: MABALOZI wa Tanzania nje ya Nchi
wakiwa katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
mabalozi hao uliofanyika Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
MABALOZI wa Tanzania nje ya Nchi
wakiwa katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
mabalozi hao uliofanyika Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa
Kairuki akizungumza katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi uliofanyika Hotel
Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
Balozi wa Tanzania nchini Italy, Mahmoud
Thabit Kombo akizungumza katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi
uliofanyika Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
BALOZI wa Tanzania nchini Qatar, Mahadhi
Juma Maalim akizungumza katika mkutano wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya Nchi uliofanyika
Hotel Verde Mtoni Zanzibar.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
No comments:
Post a Comment