Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Mradi wa Maji Kisarawe Mjini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Afisa Mtendaji  Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian  Luhemeja kuhusu Mradi wa Maji wa Kisarawe mjini  akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. Kushoto  ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la Maji wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022 .  Kushoto  ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na wa tatu kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo wakati alipokagua Mradi wa Maji Kisarawe Mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteremka kutoka katika tangi la Maji wakati aliptembelea Mradi wa Maji wa Kisarawe Mjini akiwa   katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua Mradi wa Maji Kisarawe mjini akiwa katika siku ya tatu ya ziara ya Mkoa wa Pwani, Novemba 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.