MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya White House Jijini
Dodoma,kuhudhuria Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika
ukumbi huo na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na
(kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa White House Jijini Dodoma, wakisoma
makabrasha ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kabla ya kuaza kwa Kikao
hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu
Hassan,kilichofanyika leo 6-12-2022 katika ukumbi wa White House ( kutoka
Kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Makamu wa
Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
ambae pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakati Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan alipowasili katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza
Kikao hicho kilichofanyika leo 6-12-2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM White House Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM White House Jijini Dodoma
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa White House Dodoma, wakifuatilia
hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakati Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao hicho leo 6-12-2022 katika
ukumbi wa White House ( kutoka Kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango, Mjumbe wa
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakimsikiliza Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao hicho katika ukumbi wa White House Dodoma
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakimsikiliza Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri wa Tanzania
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao hicho katika ukumbi wa Whitev
House Dodoma leo 6-12-2022

House Dodoma leo 6-12-2022.
No comments:
Post a Comment