Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi alipowasili katika uwanja wa Ilulu kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa tarehe 01 Desemba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa Lindi wakiwa kwenye Uwanja wa Ilulu kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia kwenye Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa imefanyika Mkoani humo tarehe 01 Desemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.