Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amepongeza na Wauguzi Zanzibar Kwa Kudhimisha Miaka Miwili ya Uongozi Wake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Rajab Mohammed Bilal,wakati  akitembelea banda la maonyesho la Kitengo cha Macho la Wizara ya Afya Zanzibar , katika viwanja vya Chuo Cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya uongozi wake zilizoandaliwa na Wauguzi Zanzibar katika ukumbi wa Chuo hicho Maruhubi leo 20-12-2022, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan K.Hafidh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Ramadhan Mikidadi Suleiman wa Kitengo cha Chanjo ya Korona Zanzibar , wakati akitembelea maonesho ya sherehe ya kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake, iliyoandaliwa na Wauguzi Zanzibar,katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Rabia Mzee Mataka wa Kitengo cha Shirikishi cha  Afya na Uzazi Zanzibar, wakati akitembelea maonesho ya sherehe ya kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake, iliyoandaliwa na Wauguzi Zanzibar,katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Maryam Mohammede Mtumwa wa Kitengo cha Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar,wakati akitembelea maonesho ya sherehe ya kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake, iliyoandaliwa na Wauguzi Zanzibar,katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa sherehe ya kumpongeza kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake iliyoandaliwa na Wauguzi wa Zanzibar leo 20-12-2022 kwa kumpongeza. (kushoto kwa Rais)  Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi Zanzibar Prof. Amina Abdulkadir Ali na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Tali Ali Talib na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan K.Hafidh na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
WAUGUZI Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar leo 20-12-2022
WAUGUZI Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa sherehe za kumpongeza kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar leo 20-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya Kutimiza Miaka Miwili ya Uongozi wake,iliyotolewa na Wauguzi Zanzibar akikabidhiwa na Muunguzi Bi. Maryam Rashid Suleiman, wakati wa sherehe za kumpongeza zilizofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja leo 20-12-2022, na (kulia kwa Muunguzi) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe.Rashid Simai Msaraka
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata keki maalum ya kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya Uongozi wake, wakati wa sherehe za kumpongeza zilizoandaliwa na Wauguzi Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar leo 20-12-2022, na (kulia kwa Rais) Muunguzi Bi. Maimuna Ibrahim, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan K. Hafidh na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka na Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi Zanzibar Prof. Amina Abdulkadir Ali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata keki maalum ya kumpongeza kwa kutimia miaka miwili ya Uongozi wake, wakati wa sherehe za kumpongeza zilizoandaliwa na Wauguzi Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar leo 20-12-2022, na (kulia kwa Rais) Muunguzi Bi. Maimuna Ibrahim, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka na Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi Zanzibar Prof. Amina Abdulkadir Ali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.