6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amtembelea Balozi Dkt.Salim Ahmed Salim

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim 
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ahmed Salim ambaye mtoto wa  Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomtembelea Waziri Mkuu huyo Mstaafu nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments