6/recent/ticker-posts

Michuano ya 17 Kombe la Mapinduzi Kati ya Yanga na KMKM Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Yanga Imeshinda Bao.1--0

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga Dickson Ambundo akijaribu kumpita beki wa Timu ya KMKM, katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika jana usiku katika Uwanja wa Amaan.Timu ya Yanga imeshinda kwa bao 1--0. 






 

Post a Comment

0 Comments