Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar Kati ya KVZ na Mlandege Timu hizo Zimetika Sare ya Bao 1-1Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan

 


Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub bMohammed Mahmoud akikagua Timu za KVZ na Mlandage wakati wa mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi mchezi uliofanyika leo katika Uwanja wa Amani Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Kikosi cha Timu ya Mlandege kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, michuano hiyo ulioaza leo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar katika mchezo huo Timu hizo za KVZ na Mlandege zimetoka sare ya bao 1-1
Kikosi cha Timu ya KVZ kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, michuano hiyo ulioaza leo katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar katika mchezo huo Timu hizo za KVZ na Mlandege zimetoka sare ya bao 1-1No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.