Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani na Ubeligiji Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani na Ubeligiji wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” (kulia kwa Rais) Dr.Michael. Mwasumbi,Dr.Marc .Briere na Kiongozi wa Ujumbe huo Prof.Bruno J.Van Herendael, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa  mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-1-2023.(Picha Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Marekani  na Ubelgiji  wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” ukiongozwa na Prof. Dr.Bruno J.Van Herendael, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-1-2023.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani na Ubelgiji wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” Prof. Bruno.J Van Herendael, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-1-2023 na (kulia kwa Rais) Dr. Michael Mwasumbi na Dr.Marc Briere.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani na Ubelgiji wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” Prof. Bruno.J Van.Herendael, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-1-2023.(Picha na Ikulu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.