Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture, Mpendae

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya TAHA (kulia) Bi.Jacqueline Mkindi Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA Mhandisi Zebadiah Moshi,wakati alipofika katika ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda kiliopo Mpendae, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 31/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Kituo cha Maarifa cha Horticulture kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda kiliopo Mpendae,  Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi,hafla iliyofanyika leo ambapo viongozi mbali mbali walihudhuria leo.[Picha na Ikulu] 31/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa  wa Taasisi ya TAHA Ndg.Amani Temu (wa pili kulia) alipokuwa akitoa maelezo jinsi wanavyotoa huduma wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda leo ,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Ndg.Zehra Karim Zam wa Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo katika Idara ya Maendeleo ya Mifugo  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda leo ,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Dkt.Mwatima Abdalla Juma Mkulima wa mboga mboga wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda leo ,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Ndg.Veronica Rusagira wa Taasisi ya (YARA) wauzaji wa mbolea kwa Wakulima  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda leo ,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi ya Mche wa Mti Mdalasini  kutoka kwa Ndg.Zulpher Viungo katika Mradi wa Viungo unaosimamiwa na Agriconect Mwanakwerekwe wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture leo ambacho kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi ya Ndizi  Ali Hassan Mwinyi kutoka kwa Ndg.Zulpher Viungo   katika Mradi wa Viungo unaosimamiwa na Agriconect   Mwanakwerekwe leo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa za kilimo katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda,Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023. 
Baadhi ya Wananchi na wafanyakazi wa TAHA wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture,  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda,kilichopo Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Kituo cha Maarifa cha Horticulture,  kinachohudumia  kilimo cha mboga mboga,viungo na matunda,kilichopo Mpendae Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA Mhandisi Zebadiah Moshi,Naibu Waziri wa Kilimo Bara Mhe.Anthony Mavunde na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Saidi Dimwa .[Picha na Ikulu] 31/01/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.