Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza katika Mkutano wa Eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), Davos nchini Uswizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.

Katika mkutano huo uliohusisha wadau hao, Mhe. Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano na wadau hao pamoja na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za Uwekezaji ili nchi za Afrika zizidi kuzalisha kwa tija.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.