RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa
pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya
Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto)
Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika
jana 28-1-2023

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii
ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli
hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli
hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na
Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akitembelea hoteli ya Emarald Resort and SPA –Matemwe baada ya kuifungua rasmin
jana 28-1-2023 katika Kijiji cha Matemwe na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Meneja Mkuu wa Hoteli ya Emarald
Resort and SPA – Matemwe.Bw. Alfredo na
Muwekezaji Bw.Francesco
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA
–Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya
kuifungua rasmin jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and
SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana
28-1-2023
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya
Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi
huo uliyofanyika jana 28-1-2023
BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and
SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
No comments:
Post a Comment