Habari za Punde

Ufunguzi wa Kituo cha Wajasiria Mali Kinduni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman (KUSHOTO)akitembelea Kituo cha Wajasiria Mali Katika hafla ya Ufunguzi wa kituo hicho kilichojengwa Kinduni Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa  Kituo cha Wajasiria Mali kilichojengwa Kinduni Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa  Kituo cha Wajasiria Mali kilichojengwa Kinduni Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa  Kituo cha Wajasiria Mali kilichojengwa Kinduni Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.