Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Afisa Rasilimali Watu, Othman Hussein, baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, baada ya ufunguzi wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, Januari 11, 2023. Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwonekano wa Hoteli ya Kilindini, iliyopo Pwani Mchangani, Wilaya ya Kaskazini “A”, Zanzibar, ambayo imefunguliwa rasmi Januari 11, 2023 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment