Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majariwa Azindua Kituo Kikuu cha Polisi Ruangwa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akimsikiliza Kamishna Msaidizi wa Polisi Mhandisi Fadhili Majid Ishekazoba (wa tatu kulia) wakati wa  uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa kwanza kulia) akifungua kitambaa kuashirikia uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack, Mkuu wa Wilaya ya Lindi Hassan Ngoma (kulia), Wengine ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili kushoto)  na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro (kushoto)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack (Kulia). Wengine ni  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Hassan Ngoma (wapili kulia)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua moja ya chumba wakati alipozindua Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. Kamishna Msaidizi wa Polisi Mhandisi Fadhili Majid Ishekazoba (kuliaNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.