Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu aweka jiwe la msingi Kituo cha Afya Mama na Mtoto Uzi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera Bunge na Uratibu)George Boniface Simbachawene akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Afya Mama na Mtoto kilichojengwa na TASAF Uzi Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera Bunge na Uratibu)George Boniface Simbachawene (Kulia)akipata maelezo kutoka kwa Injinia Ali Makame Ali kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya  Uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo cha Afya Mama na Mtoto kilichojengwa na TASAF Uzi Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga akitoa maelezo kuhusu Ujenzi wa Kituo cha Afya Mama na Mtoto katika hafla ya  Uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo hicho kilichojengwa na TASAF Uzi Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera Bunge na Uratibu)George Boniface Simbachawene akitoa hotuba katika hafla ya  Uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo Cha Afya Mama na Mtoto  kilichojengwa na TASAF Uzi Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera Bunge na Uratibu)George Boniface Simbachawene akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba katika hafla ya  Uwekaji wa Jiwe la Msingi Kituo Cha Afya Mama na Mtoto kilichojengwa na TASAF Uzi Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


PICHA N A YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.