Habari za Punde

ZBS yatoa cheti cha ubora wa bidhaa kwa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF, Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati  alipowasili katika Mabanda ya maonesho Viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika hafla ya kupokea cheti cha Ubora wa Bidhaa kilichotolewa na Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS Leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023
Wafanyakazi wa Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS wakiwa katika hafla ya utoaji wa cheti cha Ubora kwa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF,ambapo Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) amepokea Cheti pamoja na Tunzo leo katika  Viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia  Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF,(hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutua yake katika  hafla ya utoaji wa cheti cha Ubora pamoja na Tunzo kwa Taasisi hiyo leo  katika  Viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF,Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akipokea cheti cha ubora wa Bidhaa inayotolewa na Taasisi hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Maendeleo ya Viwanda Ndg.Ali Khamis Juma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF,Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akipokea Tunzo maalum ya ubora wa Bidhaa inayotolewa na Taasisi hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Maendeleo ya Viwanda Ndg.Ali Khamis Juma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kulia)alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya kupokea Cheti cha Ubora  wa Bidhaa inayotolewa na Taasisi hiyo pamoja na tunzo kutoka Taasisi ya viwango Zanzibar "ZBS"  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF,Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akipokea cheti cha ubora wa Bidhaa inayotolewa na Taasisi hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Maendeleo ya Viwanda Ndg.Ali Khamis Juma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11/01/2023.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.