Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Jumuiya ya Hindi Sunnu Jamaat Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat  Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, akitowa maelezo ya Taasisi yao, wakati mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-2-2023,walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Msahafu na Bw.Juma Ramdhan Juma, Mzee wa Taasisi ya Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yake na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed na Uongozi wa Hindi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo 2-2-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.