Habari za Punde

Benki ya Dunia Yakamilisha Tathimini ya Usimamizi wa Madeni ya Wizara ya Fedha

Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, akipeana mkono na Kiongozi wa jopo la wataalamu kutoka Benki ya Dunia, Bw. Hakan Yavuz, baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, zoezi linaloendeshwa na Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na Wizara hiyo, jijini Dodoma.
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine (wa tatu kulia), akifafanua jambo wakati wa kikao cha Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, zoezi linaloendeshwa na Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na  Wizara hiyo, jijini Dodoma.
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, akionesha miongozo mbalimbali wakati wa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni inayoendeshwa na Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na  Wizara hiyo, jijini Dodoma.

Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine (wa tano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jopo la wataalamu kutoka Benki ya Dunia, Bi.  Lilia Razlog (wa tano kushoto) na Bw. Hakan Yavuz (wa nne kushoto) baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, wengine ni wajumbe kutoka Benki hiyo na Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.

Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jopo la wataalamu kutoka Benki ya Dunia, Bi.  Lilia Razlog (wa tatu kushoto) na Bw. Hakan Yavuz (wa pili kushoto) baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, wengine ni wajumbe kutoka Benki hiyo.

Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, akipeana mkono na mtaalamu kutoka Benki ya Dunia, Bi. Lilia Razlog, baada ya kumalizika kwa Tathmini ya namna bora ya kusimamia madeni Wizarani hapo, zoezi linaloendeshwa na Benki ya Dunia (WB) kwa kushirikiana na  Wizara hiyo, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.