Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ikulu Jijini Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana mara baada ya Mazungumzo Ikulu Ndogo Jijini Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax watatu kutoka (kulia) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Mhe. Joseph Ntakirutimana watatu kutoka (kushoto) pamoja na Wajumbe aliombatana nao katika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.