Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar jana 17-4-2023, kuhudhuria futari maalum aliyowaandalia Viongozi wa CCM na Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM na Wazee wa CCM Zanzibar katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Viongozi na Watendaji wa CCM na Wazee wa CCM Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja jana 17-4-2023
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishirikikatika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Futari Maalum aliyowaandalia Watendaji na Wazee wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 17-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na(kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishirikikatika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Futari Maalum aliyowaandalia Watendaji na Wazee wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 17-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na(kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishirikikatika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Futari Maalum aliyowaandalia Watendaji na Wazee wa CCM Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar jana 17-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na(kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa.
No comments:
Post a Comment