RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa chakula yakiwemo mafuta ya kupikia Mtoto Husna
Daud, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi
Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibarb leo 14-4-202
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa chakula yakiwemo mafuta ya kupikia Bw.Mussa
Malik Kessy, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa
Makundi Maalum,wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,iliyofanyika katika viwanja
vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibarb leo 14-4-202
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia.Bi. Jamila
Borafya, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi
Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
leo 14-4-2023, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO Bi. Rehana Mirali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Msaada wa chakula Bw.Ali Abeid kwa ajili ya
futari hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti
wa Jumuiya ya ZIDO.Bi.Rehana Mirali ,msaada huo wa futari uliotolewa kwa ajili
ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia Bi.Sahila
Juma Yahya,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa
Makundi Maalum, wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja
vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibarb leo 14-4-202
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akiwakabidhi miwani Watoto Maliha Mohammed Juma na Maitham Mohammed
Juma miwani maalum kwa ajili ya Watu wenye ulemavu wa ngozi, wakati wa hafla ya
kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati Bi. Jamila Borafya akitowa neno la shukrani
kwa niaba ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,
wakati wa hafla ya ugawaji wa Sadaka kwa Wananchi hao iliyofanyika katika
viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO
Bi. Rehana MiraliRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya kugawa
Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja,iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023.
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kuwakabidhi msaada wa
vyakula kwa ajili ya futari, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
leo 14-4-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya kugawa
Sadaka ya Vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja,iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment