Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la apinduzi Alhaj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Bububu Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Masjid Almarhum Muhmammed Bin Dhahir Bububu Skuli

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili  katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu  Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi    na Waumini mbali mbali wa Eneo hilo katika ibada ya Swala ya Ijumaa leo 28/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akizungumza na   Waumini  katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu  Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi (hawapo pichani) mara baada ya ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa   nasaha zake leo katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi   baada ya Swala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  (wa pili kulia) pamoja na Viongozi wengine na  Waumini  katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu  Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) baada ya ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati)akiagana na Sheikh Mohamed Said baada ya ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu  Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi (kulia)Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) akiagana na Sheikh Abdulkarim Said Abdalla aliyosoma khutba ya swala ya Ijumaa   baada ya ibada hiyo leo  katika Masjid Almarhum Mohamed Bin Dhahir Bububu  Wilaya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi pamoja na Viongozi wengine. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.