Viongozi wa Mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi ya Taifa wakisubiri kupokea Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuaza ziara yake ya Kichama kukagua Mali za Chama katika Tawi la CCM Mbweni Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo 7-5-2023. na kukiimarisha Chama
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua eneo la Chama cha Mapinduzi lilioko
katika Tawi la CCM Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 7-5-2023, akiwa
katika ziara yake Kukagua Mali za Chama na(kulia kwa Rais) Katibu wa Kamati
Maalum NEC Idara ya Uchumi na Fedha CCM Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi akioneshwa mipaka ya eneo la Tawi la CCM Mbweni Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Uchumi na Fedha CCM
Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali (kulia kwa Rais) wakati wa ziara yake
kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi na kukiimarisha Chama, ziara hiyo
iliyofanyika leo 7-5-2023
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kukagua
Mali cha Chama cha Mapinduzi (CCM) zilioko katika maeneo mbalimbali ya Unguja
na kuimarisha Chama, akitembelea eneo la
CCM Maisara Wilaya ya Mjini leo 7-5-2023, (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara
ya Uchumi na Fedha Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika
ziara yake kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali ya Unguja yamo katika
uwekezaji CCM Maisara Wilaya ya Mjini Unguja , akizungumza na Meneja wa Hoteli
ya Maisara Delux Lodge Ndg. Rumanyika Felician, wakati wa ziara yake leo
7-5-2023. na (kulia kwa Rais) Katibu wa
Kamati Maalum ya NEC Idara ya Uchumi na Fedha Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu
Afadhali, Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Uenezi na Itikadi Zanzibar Ndg Khamis
Mbeto Khamis na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Idrisa Kitwana Mustafa
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika
ziara yake kutembelia Mali za Cha Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo mbali mbali
ya Unguja leo 7-5-2023 na kuimarisha Chama, akitembelea eneo la CCM Maisara
Wilaya ya Mjini Unguja
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika
ziara yake kukagua Mali za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo mbalimbali
Unguja na kuimarisha Chama akitembelea eneo la Kijangwani katika nyumba
ilikozaliwa Chama cha Shirazi Association, inayotarajiwa kujengo jengo la Makumbusho
ya Afro Shirazi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.
Mohammed Said Dimwa.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya michoro
ya Jengo la Uwekezaji la Chama Cha Mapinduzi katika eneo la Kijangwani katika
nyumba ilikozaliwa Chama cha Shirazi Association, wakati Katibu wa Kamati
Maalum ya NEC Idara ya Fedha na Uchumi Zanzibar Ndg. Afadhali Taibu Afadhali
(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.
Mohammed Said Dimwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa
Kitwana Mustafa, akiwa katika ziara yake kukagua Mali za CCM na kuimarisha
Chama

wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wananchi wa
Jimbo la Kwani Zanzibar wakati wa ziara yake kukagua Mali za CCM katika maeneo
mbalimbali ya Unguja leo 7-5-2023, akiwa katika eneo la Kijangwani Wilaya ya
Mjini Unguja
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Uchumi na Fedha CCM Zanzibar Ndg.
Afadhali Taibu Afadhali, akisoma maelezo ya uwekezaji wa Kituo cha Mafuta
Kinazini Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake kukagua Mali za CCM
katika maeneo mbalimbali ya Unguja iliyofanyika leo 7-5-2023 na kuimarisha
Chama na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed
Said Dimwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.
Talib Ali Talib.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa ziara
yake kukagua Mali za CCM maeneo mbalimbali ya Unguja, akiwa katika eneo la
Kinazini lililoekezwa Kituo cha Mafuta na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Ndg. Mohammed Aboud Mohammed
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Viongozi mbalimbali wa CCM, baada
ya kumaliza ziara yake kukagua Mali za Chama katika maeneo mbalimbali ya Unguja
katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 7-5-2023
No comments:
Post a Comment