RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na
mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi
(kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Maofisa wa UNDP, mazungumzo hayo
yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi.
Christine Musisi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo
hayo yaliyofanyika leo 31-5-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha
ya pamoja na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine
Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 31-5-2023
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi
ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Nchini Tanzania
Bi.Christine Musisi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-05-2023

No comments:
Post a Comment