Habari za Punde

CMSA Yatowa Elimu ya Masoko kwa Wajasiriamali wa Zanzibar

Menaja Uhusiano wa Elimu kwa Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA) Ndg.Charles Shirima akizungumza katika ufunguzi wa Mafunzo kwa Wajasiliamali na Wanaotowa Elimu kwa Wajasiliamani Zanzibar, mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Menaja Uhusiano wa Elimu kwa Mamlaka ya Masoko na Mitaji (CMSA) Ndg.Charles Shirima akizungumza na Wajasiriamali na Wanaotowa Elimu  kwa Wajasiriamali Zanzibar, mafunzo hayo yaliyotolewana (CMSA) katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.








 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.