Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo Aendelea na Ziara yake Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi akimkaribisha Diwani wa CHADEMA Ndugu Mohamed Mgongaji kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kata hiyo, wakati wa kikao cha shina namba 1, tawi la Chandama wilayani Chemba, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na mtoto Ramadhani Omari mkazi wa Chandama mara baada ya kumaliza kikao cha shina namba 1, tawi la Chandama, kata ya Chandama wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.