RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
ikiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya hafla
ya kuzindua Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman
WASANII
wa Kikundi cha Makombora wakitowa burudani ya igizo la mchezo wa kupinga
vitendo vya Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa
Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi
wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
leo 1-6-2023
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na kuizindua Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 1-6-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa
Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa
Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar na Viongozi wa Serikali
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uzinduzi
wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 1-6-2023
WAGENI
Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 1-6-2023
WAGENI
Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 1-6-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Kamati ya Kuzuia
Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar (kushoto ) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar
Mhe.Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,
Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa
Kitabu cha Hadidu Rejea, Kanuni, na Mpango Kazi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishwa
Kijinsia Zanzibar, akikabidhiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe.
Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Mashtaka
Zanzibar Mhe. Mgeni Jailani Jecha, uzinduzi huo uliyofanyika leo 1-6-2023
katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
akikabidhiwa Kitabu cha Hadidu Rejea, Kanuni, na Mpango Kazi wa Kamati ya
Kuzuia Udhalilishwa Kijinsia Zanzibar, akikabidhiwa na Naibu Mkurugenzi wa
Mashtaka Zanzibar Mhe. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed na (kushoto kwa Rais)
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali
Suleiman, uzinduzi huo uliyofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment