Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahutubia Maadhimisho ya miaka 25 ya ZSSF

WAJUMBE wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)Ndg. Nassor Ameir akizungumza na kuelezea mafanikio ya ZSSF kwa kupindi cha miaka 25 ya mfuko huo, wakati wa hafla ya  Maadhimisho ya Miaka 25 ya (ZSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutiba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 25-7-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa ZSSF WHATSAPP na Uzinduzi wa Nyumba za Mji wa Dk. Hussein Mwinyi –Mombasa Zanzibar wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) na (kulia kushoto kwa Rais)Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF.Ndg. Nassor Ameir, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 25-7-2023 Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa ZSSF WHATSAPP na Uzinduzi wa Nyumba za Mji wa Dk. Hussein Mwinyi –Mombasa Zanzibar wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF.Ndg. Nassor Ameir, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 25-7-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa HGoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 25-7-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Nassor Ameir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na (kulia kwake) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Nassor Ameir, hafla hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya (ZSSF) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 25-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Mchangiaji Bora  wa ZSSF Mfuko wa Hiyari ZVSSS Ndg. Said Kapela (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Muendeshaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Nassor Ameir, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 25 ya ZSSF iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Mjini Unguja leo 25-7-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.