Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na waumini wa dini wa kiislamu katika Sala ya Ijumaa Masjid Imam Abu Ubaida Fuoni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Sheikh.Said Khalfan Kiongozi wa Masjid Imam Abu Ubaida Muslim Bin Abii Kareema Al Tamimi Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 21-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid Imam Abu Ubaida Muslim Bin Abii Kareema Al Tamimi Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,Sheikh. Sultan Nassor, baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 21-7-2023.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Imam Abu Ubaida Muslim Bin Abii Kareema Al Tamimi Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Imam Abu Ubaida Muslim Bin Abii Kareema Al Tamimi Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Imam Abu Ubaida Muslim Bin Abii Kareema Al Tamimi Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-7-2023.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.