Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Mhe. Tete Antonio na Ujumbe wake, mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Angola Mhe. Joao Lourenco, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
12 hours ago
.jpg)
.jpg)

0 Comments