Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Rais wa Kenya William Ruto mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital
Summit) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na
Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar
es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha
ya pamoja na Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Kanda ya Mashariki na
Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa pamoja na ujumbe wake mara baada ya
mazungumzo kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa
Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi
za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)
Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Marais mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
No comments:
Post a Comment