Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe.
Jenista Mhagama wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi
Ujenzi wa Mnara na Uwanja wa Mashujaa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu
ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25
Julai, 2023. Viongozi wengine pichani ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa Mhe. Innocent Bashungwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses
Kusiluka, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda wakishuhudia
tukio hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mnara na Uwanja wa Mashujaa katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2023
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiweka silaha za jadi (Mkuki na Ngao) kwenye mnara wa Mashujaa katika
Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25
Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Viongozi, Maafisa pamoja na Wananchi kwenye Maadhimisho ya Siku
ya kumbukumbu ya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wa Heshima ya Wimbo wa Taifa kwenye Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2023.
Matukio
mbalimbali kwenye maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika
Katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa amesimama wakati wa Heshima ya Wimbo wa Taifa kwenye Maadhimisho ya Siku
ya kumbukumbu ya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2023.
No comments:
Post a Comment