Habari za Punde

Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serekalini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na Mkurugenzi Mtendaji wa e- Government Zanzibar (e-GAZ )Ndg.Said Seif Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum
MSANII Mrisho Mpoto akitowa burudani ya Shairi Maalumu wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji wa  Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar ( e- Government Zanzibar) Ndg.Said Seif Said akizungumza na kutowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uliozinduliwa leo 29-7-2023 katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tupil Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini ZanzibaR.29-7-2023
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini uliozinduliwa leo 29-7-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023

BAADHI ya Mawaziri wa SMZ,Viongozi wa Dini na wageni waalikwa katika Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiemesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikalini, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa uzindua huo, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 29-7-2023

WAFANYAKAZI wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar ( e- Government ) wakifuatilia Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali wa Serikali na Mfumo wa Bajeti na Matumizi Serikali, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.