Habari za Punde

Wizara ya Maliasili Yaja Kidigitali

Mkurugenzi wa Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Thereza Mugobi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Masoko ya Ndani Bodi ya Utalii Tanzania, Bw. Felix John baada ya kutembelea Banda la Wizara hiyo kwenye Maonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Thereza Mugobi (mwenye koti la kijani) akitembelea  mabanda yenye wanyamapori kwenye Maonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii, Bw. Damasi Mfugale (mwenye miwani) akipokea maelezo kutoka kwa Mratibu wa Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii,Bw. Felix John baada ya kutembelea Banda la Wizara hiyo kwenye Maonesho ya SABA SABA jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.