Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja
Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw.
Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw.
Iman Salum Njalikai, kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw.
Habibu Awesi Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Qatar kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Bw. Hassani Iddi Mwamweta kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Viongozi, Mabalozi Wateule pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla
ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamishna wa Maadili Jaji
Mhe. Sivangilwa Mwangesi kwenye picha ya kumbukumbu na Mabalozi Wateule aliowaapisha
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment