Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika Wananchi Katika Ibada ya Sala Ijumaa Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi   alipofika kujumuika leo na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Ijumaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume,mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya  Swala ya Ijumaa katika  Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakimuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani )  mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya  Swala ya Ijumaa katika  Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiteta jambo na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume,mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya  Swala ya Ijumaa katika  Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi.
[Picha na Ikulu] 25/08/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.