RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Waumini katika kupokea jeneza likiwa na mwili marehemu Hassan
Mohammed Said, katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja kwa ajili ya Ibada
ya Sala ya Maiti iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh Saleh Kabi, iliyosaliwa Masjid hiyo leo 31-8-2023,na (kushoto kwa
Rais) Ndugu wa marehemu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai
Mohammed Said na (kulia kwa Rais) Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu kuitikia dua ikisomwa na Sheikh.Shaban
Salum Batashi, kumuombea Marehemu Hassan
Mohammed Said, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Masjid
Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-8-2023, na
(kushoto kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
Mhe. Simai Mohammed Said na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Abeid
Karume na (kulia kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali
Mfaume na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimfariji
na kutoa mkono wa pole kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai
Mohammed Said, kwa kufiwa na Kaka yake Marehemu Hassan Mohammed Said, baada ya
kumalizika kwa Dua na Sala ya Maiti iliyosaliwa katika Masjid Jamiu Zinjibar
Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 31-8-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana
na Rais Mstafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Amani Abeid Karume,baada ya kumalizika
kwa Dua na Sala ya Maiti, kumuombea Marehemu Hassan Mohammed Said, iliyosaliwa katika
Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 31-8-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana
na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, baada ya
kumalizika kwa Dua na Sala ya Maiti ya Marehemu Hassan Mohammed Said iliyosaliwa
katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo
31-8-2023
No comments:
Post a Comment