Habari za Punde

Matukio ya Picha Bungeni Dodoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. Katikati ni Mbunge wa Mikumi, Dennis Londo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale kwenye viwanja via Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.