RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023,uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha Kituo cha jingo la Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na SMT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jingo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa la Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi katika jukwaa kuu wakifuatilia Mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarian Desalegn na Waziri wa Kilimo Tanzania Mhe.Hussein Mohammed Bashe, wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, uliofanyika leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023,na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Tanzania Mhe. Hussein Mohammed Bashe.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)
Maisha : Rais Dkt. Samia Ashiriki Ufunguzi wa Hema la Ibada ya Kanisa la
Arise and Shine Kawe Jijini Dar es Salaam
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akisogeza kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi na kukata
utepe Ufu...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment