Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban Ki-Moon mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na
Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Korea Kusini Mhe. Jang Sung Min pamoja na
ujumbe wake aliombatana nao kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa
(Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mikutano mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
viongozi kutoka nchi mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya
Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi
Nchini Kenya.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment