Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega
wakati akielezea mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Masoko
Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega
pamoja na viongozi wengine wakati akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya
Uvuvi Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Abdallah Ulega, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack, Waziri wa TAMISEMI
Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe
kuzindua ugawaji wa Boti za Uvuvi 34 za mkopo nafuu mara baada ya kuweka jiwe
la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Kilwa Masoko Mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Abdallah Ulega mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi
iliyopo Kilwa Masoko Mkoani Lindi
Mkazi wa Kilwa Masoko akiwa
kwenye Sherehe za uzinduzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Mkoani Lindi
Mkazi wa Kilwa Masoko akiwa
kwenye Sherehe za uzinduzi wa Bandari ya Uvuvi zilizofanyika Kilwa Masoko
Mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Abdallah Ulega wakati akitoa mfano wa funguo kwa Bi. Shukrani Shamte pamoja na
Juma Omari Juma kama ishara ya kugawa Boti 34 za mkopo nafuu kwa vikundi vya Uvuvi
mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa
Masoko Mkoani Lindi
Mkazi wa Kilwa Masoko akiwa
kwenye Sherehe za uzinduzi wa Bandari ya Uvuvi zilizofanyika Kilwa Masoko
Mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi
Mhe. Abdallah Ulega kuhusu vifaa mbalimbali vya Kisasa vya Uvuvi mara baada ya
kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Masoko Mkoani
Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi
Mhe. Abdallah Ulega kuhusu vifaa mbalimbali vya Kisasa vya Uvuvi mara baada ya
kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Masoko Mkoani
Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Mifugo na
Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega kuhusiana na Boti za Kisasa za Uvuvi mara baada ya
kuzindua ugawaji wa Boti hizo, Kilwa Masoko Mkoani Lindi Wananchi mbalimbali wakishangilia mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
kuwasili katika eneo la Kilwa Masoko ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika
Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment