Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa
Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika
uwanja Bomani tarehe 17 Septemba, 2023.
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwenye
uwanja Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023..jpg)
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwenye
uwanja Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023.
Wananchi
wa Masasi wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17
Septemba, 2023.
.jpg)

.jpg)
0 Comments