Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua miundombinu katika kituo cha afya cha Kakunyu kilichopo Missenyi, Mkoani Kagera, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fatma Mwassa. Kituo hicho kimegharimu shilingi milioni 500, Septemba 23, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua miundombinu katika kituo cha afya cha Kakunyu kilichopo Missenyi, Mkoani Kagera, Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fatma Mwassa. Kituo hicho kimegharimu shilingi milioni 500.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Forodha wa Uganda, Joseph Kamulegeya, wakati alipokagua shughuli mbalimbali katika Kituo cha Huduma za Pamoja cha Mutukula alipotembelea kituo hicho, Septemba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia shehena ya mizigo inayoshushwa kwenye Lori kwa ajili ya kukaguliwa kabla haijavushwa kwenda nchi jirani, wakati alipotembelea Kituo cha Huduma za Pamoja cha Mutukula ili kuona utendaji kazi wake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua shughuli mbalimbali katika Kituo cha Huduma za Pamoja cha Mutukula alipotembelea kituo hicho, Septemba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua shughuli mbalimbali katika Kituo cha Huduma za Pamoja cha Mutukula alipotembelea kituo hicho, Septemba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi
No comments:
Post a Comment