Waziri
wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari
kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya
Afya. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Maji. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akizungumza masuala mbalimbali kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) Dkt. Godlove Mfuko akizungumzia faida watakazozipata katika Sekta ya Afya kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa
Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment