Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahudhuria hafla ya chakula Ikulu Dar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Rais wa  Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) alipotambulishwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chakula cha mchana ukumbi wa Ikulu Jijini Dar-es Salaam mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini. [Picha na Ikulu]31/10/2023.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na  Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini.[Picha na Ikulu]31/10/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe.Angella Kairuki wakati wa chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni wake Rais wa  Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier akiwa katika ziara Nchini.[Picha na Ikulu]31/10/2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatana na Mgeni wake Rais wa  Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chakula cha mchana,wakati mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini. [Picha na Ikulu]31/10/2023.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na  Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini.[Picha na Ikulu]31/10/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.