Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki katika maziko ya mama wa Sheikh Samir Zulfikar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ( kushoto) akisalimiana na Sheikh Samir Zulfikar   na Viongozi  Wengine alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Mwembe Shauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi  kuhudhuria katika swala ya Maiti ya kumuombea Mama wa Sheikh Samir Zulfikar,  katika Msikiti huo leo .[Picha na Ikulu]26/10/2023.Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi na Waumini mbali mbali katika swala ya Maiti ya Mama wa Sheikh Samir Zulfikar ayeongoza swala hiyo katika Msikiti wa Mwembe Shauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu]26/10/2023.


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na  Viongozi na Waumini mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa na Sheikh Maalim Siasa baada ya  swala ya Maiti ya Mama wa Sheikh Samir Zulfikar (kulia) katika Msikiti wa Mwembe Shauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu]26/10/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.